Karibu kwenye ukurasa rasmi wa Kwaya ya Bikira Maria Mshindaji (BMM), inayohudumu katika Parokia ya Bikira Maria Mshindaji, Kanisa kuu la Bikira Maria Mshindaji, Jimbo Katoliki Kigoma Tanzania.🇹🇿 Karibu Utazame kazi mbalimbali za Kwaya yetu upate ujumbe wa kumtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji. kwa mawasiliano zaidi +255 716 113 111 +255 769 829 767 +255 765 332 337